Baraza la Taifa la Biashara Tanzania ni nini? PDF Print E-mail

Baraza la Taifa la Biashara Tanzania TNBC ni baraza kwa ajili ya mazungumzo ya sekta ya Umma na Sekta Binafsi wakiwa na mtazamo wa kufikia makubaliano na uelewa wa pamoja kuhusu masuala ya kimkakati kuhusiana na usimamizi thabiti wa rasilimali katika kuendeleza maendeleo ya uchumi wa jamii wa Tanzania.


Lengo ni kuweka mazingira mazuri kwa sekta binafsi ili kuongeza ustawi wa uchumi katika mali na uanzishaji wa ajira na uzalishaji wa mapato katika mchakato wa uondoaji wa umaskini.

 
Next >